Juma hili tunaangazia haki na uhuru wa kujieleza, huku tukitupia jicho ripoti ya Human Right Watch juu ya ukandamizaji wa uhuru na haki ya kujieleza nchini India. Bofya hapa kusoma ripoti hio.