Matukio makubwa yalitokea duniani wiki hii

Sauti 21:03
Ramani ya dunia iliyopambwa na bendera ya mataifa mbalimbali
Ramani ya dunia iliyopambwa na bendera ya mataifa mbalimbali

Tumekuandalia mkusanyiko wa matukio makubwa yaliyojiri duniani wiki hii, kuanzia barani Afrika na maeneo mengine duniani.Ikiwa ni pamoja na hali ya kisiasa na usalama nchini DRC na Tanzania lakini pia Mkutano wa Maendeleo kati ya Japan na Mataifa ya Afrika bila kusahau tetemeko la ardhi nchini Italia.