Habari RFI-Ki

Kutokomeza uhalifu na ukwepaji sheria dhidi ya waandishi wa habari

Sauti 10:10
waandishi wahabari wanaminywa katika kupata haki zao za kuripoti kwa uhuru taarifa mbali mbali
waandishi wahabari wanaminywa katika kupata haki zao za kuripoti kwa uhuru taarifa mbali mbali Photo: Unesco/Cyril Ndegeya

Umoja wa Mataifa umetaka nchi wanachama kuazimia upya kuweka mazingira huru na salama kwa wanahabari kufanya kazi zao.Rai hiyo inakuja wakati huu ambapo wanahabari duniani kote wanaadhimisha siku ya kutokomeza uhalifu na ukwepaji sheria dhidi ya waandishi wa habari.