Habari RFI-Ki

Mkutano wa mwaka wa ICC wafunguliwa huko Hague

Sauti 10:47
Mwendesha mashtaka wa mahakama ya ICC, Fatou Bensouda, 14 November 2013 .
Mwendesha mashtaka wa mahakama ya ICC, Fatou Bensouda, 14 November 2013 . UN Photo/Eskinder Debebe

Katika makala haya utasikia maoni kuhusu mkutano wa mwaka wa mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita ICC wakati huu baadhi ya nchi za Afrika zikitangaza kujiondoa kwenye mahakama hiyo. Karibu