Habari RFI-Ki

Siku ya Ukimwi duniani

Sauti 10:05
ONUSIDA

Desemba 1 ni siku ya ukimwi duniani. Ugonjwa wa UKIMWI unasalia kuwa janga duniani hasa kwa mataifa mbalimbali ya Afrika.Takwimu kutoka Shirika la afya duniani WHO zinaonesha kuwa asilimia 69 ya watu Kusini mwa jangwa la sahara, wanaishi na virusi vya HIV.