Habari RFI-Ki

Siku ya Kimataifa ya hali ya hewa

Sauti 10:07
Hlai ya hewa ya mvua
Hlai ya hewa ya mvua www.wmo.int

Leo ni siku ya Kimataifa ya hali ya hewa. Ni siku ya kusherehekea kazi inayofanywa na watalaam wa Mamlaka ya hali hewa katika mataifa mbalimbali duniani. Lakini je, unaamini utabiri wa hali ya hewa unaotolewa na Mamlaka ya hali ya hewa katika nchi yako ? Taarifa kutoka Mamlaka haya zina msaada wowote kwako ?