Dunia yaadhimisha siku ya uhuru wa vyombo vya habari

Sauti 10:30
Ahmed Abba, mwandishi wa habari wa RFI katika Idhaa ya Hausa, alihukumiwa Aprili 24 kifungo cha miaka 10 jela na mahakama ya kijeshi ya Yaoundé, nchini Cameroon kwa kosa la  "kutetea na kusaidia ugaidi."
Ahmed Abba, mwandishi wa habari wa RFI katika Idhaa ya Hausa, alihukumiwa Aprili 24 kifungo cha miaka 10 jela na mahakama ya kijeshi ya Yaoundé, nchini Cameroon kwa kosa la "kutetea na kusaidia ugaidi." © RFI-KISWAHILI

Katika makala haya utasikia maoni kuhusu siku ya uhuru wa vyombo vya habari na changamotozinazowakabili wanahabari