Muziki Ijumaa

Maher Zain aliezamilia katika uimbaji

Sauti 13:06
mwanamuziki wa Sweden Maher Zain
mwanamuziki wa Sweden Maher Zain MaherZain/facebook

Makala haya Muziki Ijumaa juma hili Ali Bilali anamzungumzia mwanamuziki wa Sweden mwenye asili ya Lebanon, Maher Zain ambae nyimbo zake zimeendelea kukonga nyoyo za wengi duniani hasa kutoka na ujumbe unaobeba nyimbo hizo. kabla ya kuwa muimbaji Zain alikuwa producer wa Muziki. mengi zaidi ambatana naye Ali Bilali usikosi pia kumfollow kwa instagram @billy_bilali