Habari RFI-Ki

Dunia yahamasishwa Kuchangia damu kuokoa maisha

Sauti 08:34
Zoezi la uchangiaji damu husaidia kuokoa maisha ya watu waliopo katika majanga
Zoezi la uchangiaji damu husaidia kuokoa maisha ya watu waliopo katika majanga Reuters/Stringer

Dunia inaadhimisha siku ya kimataifa ya uchangiaji damu kwa lengo la kuokoa maisha ya watu katika mazingira ya majanga.WHO inatoa kauli mbiu kuwa changia changia sasa kuokoa maisha ya watu.Wasikilizaji wana maoni gani kuhusu zoezi hili..