Siku ya chakula duniani 2017

Sauti 10:09
Shirika la Chakula la Kilimo FAO
Shirika la Chakula la Kilimo FAO FAO

Leo ni siku ya Chakula duniani. Uhaba wa chakula umekuwa chanzo cha baa la njaa, umasikini, mapigano na hata kusababisha Mamilioni ya watu kuyakimbia makwao. Unafikiri viongozi wa dunia wanaweza kuja na mikakati gani ya ziada kutatua changamoto hii ?