Dunia yaadhimisha siku ya maji huku wito wakulinda vyanzo vya maji vya asili ukitolewa

Sauti 10:01
Misitu ya Bwindi iliyoko nchini Uganda
Misitu ya Bwindi iliyoko nchini Uganda online

Machi 22 kila mwaka duniani huadhimisha siku ya maji ambapo kauli mbiu ya mwaka huu ni namna vyanzo vya maji vya asili kama milima, mabonde na misitu vinavyoweza kusaidia kutatua changamoto ya ukosefu wa maji. Mwanahabari wetu Fredrick Nwaka amezungumza na wasikilizaji wetu kutoka Afrika Mashariki na kati ili kupata maoni yao kuhusu wajibu wa wananchi na serikali katika kulinda vyanzo vya maji vya asili.