Mkutano wa kihistoria kati ya viongozi wa Korea Kaskazini na Korea Kusini

Sauti 13:35
Kiongozi wa Korea Kaskazini Moon Jae-in akisaliamiana na Kim Jong un baada ya kukutana hivi karibuni
Kiongozi wa Korea Kaskazini Moon Jae-in akisaliamiana na Kim Jong un baada ya kukutana hivi karibuni 路透社

Mwezi Aprili, kulikuwa na mkutano wa kihistoria kati ya viongozi wa Korea Kusini na Korea Kaskzini baada ya muda mrefu wa vita baridi kati nchi hizi jirani.Mkutano kati ya Jim Jong Un kiongozi wa Korea Kaskazini na Moon Jae-in rais wa Korea Kusini ulifanyika mpakani mwa nchi hizo mbili na kufikia makubaliano ya kuanza upya ushirikiano kati ya Pyongyanga na Seoul.Kukutana na viongozi hawa kulikuwa na umuhimu gani na kunaamaanisha nini ?