Habari RFI-Ki

Waislamu duniani kote waungana kusherehekea sikukuu ya Eid El Fitr

Sauti 09:52
Eid al Fitr kwa Waislamu wote duniani
Eid al Fitr kwa Waislamu wote duniani wikipedia

Waumini wa dini ya Kiislamu duniani kote leo Juni 15 wanasherehekea sikukuu ya Eid El Fitr baada ya kumazika kwa mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan. Fredrick Nwaka amezungumza na wasikilizaji wetu katika eneo la maziwa makuu na Afrika kwa ujumla ili kupata maoni yao namna wanavyosherehekea sikukuu hii na ujumbe wao kwa dunia