Habari RFI-Ki

Siku ya Kimataifa ya kupambana na dawa za kulevya

Sauti 09:57
Dawa za kulevya
Dawa za kulevya pharmatimes.com.ng

Leo ni siku ya Kimataifa ya kupinga matumizi ya dawa za kulevya. Umoja wa Mataifa unasema, kuwasikiliza watoto na vijana ni hatua ya kwanza ya kupambana na hali hii ambayo imeendelea kuwasumbua vijana wengi duniani. Wewe unafikiri Jamii, inaweza kushirikishwa vipi katika vita dhidi ya dawa za kulevya katika nchi yako?