Habari RFI-Ki

Nani atashinda kombe la dunia kati ya Ufaransa na Croatia ?

Sauti 10:33
Wachezaji wa Ufaransa na Croatia
Wachezaji wa Ufaransa na Croatia wikipedia

Fainali ya kombe la dunia inachezwa siku ya Jumapili, kati ya Ufaransa na Croatia. Mechi hiyo itachezwa jijini Moscow nchini Urusi.Je, nani atashinda mechi hiyo na unakumbuka nini katika michuano hii ?