Mahakama ya Kimataifa ya ICC yatimiza miaka 20

Sauti 15:17
Jengo la Mahakama ya Kimataifa ya ICC mjini Hague nchini Uholanzi
Jengo la Mahakama ya Kimataifa ya ICC mjini Hague nchini Uholanzi © ICC-CPI

Mahakama ya Uhalifu wa kivita ICC, imetimiza miaka 20 tangu ilipoanza kazi yake katika mjini hague nchini Uholandi. Watu mbalimbali wamekuwa na maoni tofauti kuhusu umuhimu na kazi ya Mahakama hii ya Kimataifa. Je, imefanikiwa kwa muda wa miaka hii Ishirini ? Tunajadili na Wakili na mchambuzi wa siasa za Kimataifa Ojwang Agina akiwa Nairobi nchini Kenya na Omar Kavota Mwenyekiti wa Shirika la kutetea haki za binadamu na kuhimiza uongozi bora CEPADHO, akiwa Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.