Mchango wa aliyekuwa katibu mkuu wa umoja wa mataifa Dr. Koffi Annan
Imechapishwa:
Sauti 10:33
Katika makala haya leo utasikia maoni ya wasikilizaji kuhusu mchango wa aliyewahi kuwa katibu mkuu wa Umoja wa mataifa kati ya mwaka 1997 hadi 2007 Dr. Koffi Annan katika usuluhishi na utatuzi wa migogoro duniani.