Habari RFI-Ki

Siku ya amani yaadhimishwa huku dunia ikishuhudia mizozo inayohatarisha ustawi wa amani

Sauti 10:00
Wananchi wa Afghanstan wakifanya maandamano ya amani Mjini Kabul, Juni 18, 2018
Wananchi wa Afghanstan wakifanya maandamano ya amani Mjini Kabul, Juni 18, 2018 REUTERS/Mohammad Ismail

Siku ya amani duniani huadhimishwa kila mwaka Septemba 21, hata hivyo baadhi ya mataifa ya Afrika yanatajwa kukabiliwa na migogoro ambayo ni chanzo cha kuzorotesha amani. Fredrick Nwaka amezungumza na wasikilizaji wetu kutoka sehemu mbalimbali duniani ili kupata maoni yao kuhusu siku hii.