Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa 73 waanza jijini New York

Sauti 10:07
Rais wa Marekani  Donald Trump akihotubia Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa
Rais wa Marekani Donald Trump akihotubia Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa REUTERS/Carlos Barria TPX IMAGES OF THE DAY

Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa 73, unaendelea jijini New York nchini Marekani. Rais Donald Trump amefungua mkutano huo kwa kuishtumu Mahakama ya Kimataifa ya ICC na kusema haina mamlaka na ni dhaifu. Naye rais wa DRC, Joseph Kabila ameihakikishia dunia kuwa uchaguzi nchini mwake, utafanyika mwezi Desemba kama ilivyopangwa. Tunajadili hili na Dokta Brian  Wanyama na Haji Kaburu, wachambuzi wa siasa za Kimataifa.