Habari RFI-Ki

Dunia yaathimisha siku ya kimataifa ya mtoto huku kundi hilo likikabiliwa na changamoto lukuki

Imechapishwa:

Novemba 20 kila mwaka dunia huadhimisha siku ya mtoto huku barani Afrika watoto wakikabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo ukosefu wa lishe bora, ukosefu wa elimu na usalama. Je jamii inatimiza wajibu wake katika kukuza ustawi wa mtoto? Fredrick Nwaka amekuandalia makala haya.

Watoto ni kundi muhimu katika jamii lakini katika baadhi ya maeneo duniani kundi hili linakabiliwa na changamoto mbalimbali
Watoto ni kundi muhimu katika jamii lakini katika baadhi ya maeneo duniani kundi hili linakabiliwa na changamoto mbalimbali UN/Manuel Elias