Jua Haki Zako

Wanaharakati wanavyokabiliana na vitendo vya ukatili dhidi ya wanawake na wasichana

Sauti 10:09
Tito Magoti, Mwanasheria na Mwanaharakati wa haki za binadamu nchini Tanzania
Tito Magoti, Mwanasheria na Mwanaharakati wa haki za binadamu nchini Tanzania RFI/Fredrick Nwaka

Novemba 25 kila mwaka dunia huadhimisha siku ya kupinga ukatili dhidi ya wanawake lakini bado zipo changamoto zinazomkabili mwanamke. Fredrick Nwaka amekuandalia makala haya