Dunia ikiadhimisha siku ya wanawake, kundi hilo lina mchango katika kuibadilisha jamii?
Imechapishwa:
Sauti 10:02
Machi 8 kila mwaka ulimwngu unaadhimisha siku ya wanawake. Je kuna mchango wa kundi hili katika kuibadili jamii? Fredrick Nwaka amezungumza na wasikilizaji wetu ili kupata maoni yao.