Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Matukio tuliyoyapa uzito wiki hii duniani

Imechapishwa:

Wiki hii mengi yamejiri duniani, ni pamoja na wito wa rais wa DRC Felix Thisekefdi kwa Magavana kumuunga mkono, lakini pia kuuawa kwa wanajeshi wawili wa Ufaransa waliokuwa wanawaokoa watalii nchini Burkina Faso miongoni mwa mengine mengi.

Rais wa DRC Felix Tshisekedi
Rais wa DRC Felix Tshisekedi REUTERS/ Olivia Acland
Vipindi vingine