Pata taarifa kuu
Changu Chako, Chako Changu

Sehemu ya II ya Historia ya wakimbizi duniani

Sauti 20:35
kambi ya wakimbizi wa Nigeria kasribu na mto Tchad
kambi ya wakimbizi wa Nigeria kasribu na mto Tchad RFI/Laura Angela Bagnetto
Na: Ali Bilali

Makala haya ni sehemu ya pili kuhusu siku ya wakimbizi duniani, na kwenye kipengele cha le parler Francophone utapata kusikia hapa namna Miradi ya Ufaransa imeendelea kukita mizizi katika mataifa ya Afrika Mashariki. utampata pia mwanamuziki JKhoman wa miondoko ya Reggue nchini Tanzania anavyopeperusha bendera ya kiswahili ulimwenguni kupitia muziki wake wa reggue.

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.