Habari RFI-Ki

Kauli ya Donald Trump ilivyoleta hisia tofauti duniani

Sauti 10:22
Rais wa Marekani, Donald Trump
Rais wa Marekani, Donald Trump REUTERS/Kevin Lamarque

Donald Trump, rais wa Marekani ametoa kauli kali ya kuwataka wabunge wanne wa Democrats kurudi waliokotoka, matamshi ambayo yamezua hofu huku wabunge hao wakimshutumu Trump kwa matamshi ya ubaguzi na kumtaka aombe radhi. Fredrick Nwaka amekuandalia makala haya kwa kuzungumza na wasikilizaji ili kupata maoni yao