Habari RFI-Ki

Nini kifanyike ili kuzuia biashara haramu ya usafirishaji wa binadamu?

Sauti 10:02
Dunia inashuhudia ongezeko la asilimia 58 ya usafirishaji wa binadamu
Dunia inashuhudia ongezeko la asilimia 58 ya usafirishaji wa binadamu askideas.com

Siku ya kimataifa ya kupinga biashara haramu usafirishaji wa binadamu ambayo huadhimishwa duniani kote ifikapo julai 3o kila mwaka. Fredrick Nwaka amekuandalia makala haya kwa kuzungumza na wasikilizaji wetu ili kupata maoni yao.