Habari RFI-Ki

Wiki ya unyonyeshaji yaadhimishwa duniani kote

Sauti 09:37
Asilimia 60 ya watoto duniani kote hawanyonyeshwi ipasavyo kwa sababu ya changamoto ya sera za kazi.
Asilimia 60 ya watoto duniani kote hawanyonyeshwi ipasavyo kwa sababu ya changamoto ya sera za kazi. UN News

Dunia inaadhimisha wiki ya unyonyeshaji huku shirika la umoja wa mataifa la watoto UNICEF likitoa wito kwa familia, jamii na serikali duniani kote kuandaa mazingira wezeshi kwa akina mama kunyonyesha watoto katika mazingira ya kazi. Fredrick Nwaka amekuandalia makala haya kwa kuzungumza na wasikilizaji wetu