Historia ya nchi 7 tajiri Duniani maharufu G7
Imechapishwa:
Sauti 20:37
Katika Makala haya nakuletea Historia ya nchi tajiri Duniani ama G7, lakini pia utapata kusikia utamaduni wa kumuoza binti wa Kiratoga nchini Tanzania, huku nikikupa burudani ya Muziki wa Werrason ambae anahamasisha wananchi wa Mashariki ya DRCongo kujilinda na Ebola.