Habari RFI-Ki

Ulimwengu waadhimisha siku ya kisukari huku idadi ya watu wanaougua maradhi hayo ikiongezeka

Sauti 10:00
Raghad anaishi katika kambi ya wakimbizi nchini Jordan na anaugua ugonjwa wa kisukari.
Raghad anaishi katika kambi ya wakimbizi nchini Jordan na anaugua ugonjwa wa kisukari. WHO/Tania Habjouqa

Ulimwengu unaadhimisha siku ya kisukari duniani huku idadi ya watu wanaougua maradhi hayo ikiongezeka kutoka milioni 108 mwaka 1980 hadi milioni 420 mwaka 2014. Mtindo wa maisha unatajwa kuwa mojawapo ya sababu. Je kubadili mtindo wa maisha kunaweza kusaidia kukabiliana na maradhi haya? Ungana na Fredrick Nwaka aliyekuandalia makala haya kwa kuzungumza na wasikilizaji.