Ulimwengu waadhimisha siku ya kimataifa ya kupinga ukatili dhidi ya wanawake huku vitendo hivyo badoi vikiripotiwa katika mataifa mbalimbali

Sauti 09:56
Kauli mbiu ya siku ya kimataifa ya kupinga utakili dhidi ya wanawake na wasichana ni simama dhidi ya ubakaji
Kauli mbiu ya siku ya kimataifa ya kupinga utakili dhidi ya wanawake na wasichana ni simama dhidi ya ubakaji UN

Dunia inaadhimisha siku ya kimataifa ya kupinga ukatili dhidi ya wanawake na wasichana huku kundi hili likikabiliwa na changamoto mbal;imbali kama ndoa za utotoni, kudhalilishwa na kupigwa, ukatili wa kingono n.k. Ungana na Fredrick Nwaka aliyekuandalia makala ya Jua Haki Zako.