Matukio makubwa tuliyoyapa uzito mwaka 2019

Sauti 09:24
Rais wa DRC Felix Tshisekedi akihotubia wananchi baada ya kuapishwa mwezi Janauri mwaka 2019
Rais wa DRC Felix Tshisekedi akihotubia wananchi baada ya kuapishwa mwezi Janauri mwaka 2019 TONY KARUMBA / AFP

Haya ndio makala ya mwisho ya Wimbi la Siasa mwaka 2019, tunaangazia matukio makubwa tuliyoyapa uzito kisiasa barani Afrika na kwingineko duniani.