Uganda - Siasa

Serikali ya Uganda yawapa wabunge pesa kununua magari

Rais wa Uganda Yoweri Museveni
Rais wa Uganda Yoweri Museveni REUTERS/James Akena

Serikali nchini Uganda inapanga kumpa kila mbunge dolla $56, 000 kununua gari wakati huu taifa hilo likikabiliwa na janga la Corona.Haya hapa baadhi ya maoni yako