Libya hali ni tete

Sauti 19:59
Waasi wa libya wakiwa katika harakati za mapambano
Waasi wa libya wakiwa katika harakati za mapambano Reuters路透社

Mwandishi wa makala haya, Edwin David Ndeketala, juma hili katika mtazamo wako ameangalia yaliyojiri nchini Libya ambako mashambulizi ya vikosi vya NATO yameendelea, lakini pia ametazama wiki ya utumishi wa umma iliyomalizika juma hili nakuazimishwa kidunia nchini Tanzania.