Haki ya Mwanamke katika ukanda wa Afrika Mashariki

Sauti 07:31
Bendera ya Jumuiya ya Afrika Mashariki
Bendera ya Jumuiya ya Afrika Mashariki

Mtayarishaji wa makala haya ya Jua Haki Zako, juma hili ameangazia sheria zinazolinda wanawake, na amezungumza na wataalamu wa sheria kuhusiana na haki za wanawake katika ukanda wa Afrika Mashariki na kati.