Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Miaka 50 ya Uhuru kwa nchi nyingi za Afrika

Sauti 20:00

Mtayarishaji wa makala haya, juma hili ameangazia yaliyojiri barani Afrika na Ulaya, ambapo ameangazia maadhimisho ya miaka 50 kwa nchi nyingi za Afrika na changamoto zake bila kusahau kesi ya ubakaji inayomkabili Dominique Strauss-Kahn.