Habari RFI-Ki

Uharamia wa taarifa kupitia simu

Sauti 09:43
AFP

Mtayarishaji na mtangazaji wa Habari Rafiki, siku ya leo ameangazia matatizo ya uharamia wa taarifa kupita simu akitumia mfano wa kile ambacho kinatokea nchini Uingereza hivi sasa.