Jua Haki Zako

Adhabu ya fimbo shuleni

Sauti 09:50

Je, adhabu za kuwachapa wanafunzi fimbo mashuleni ni sahihi? Mwanafunzi aadhibiwe vipi na kwa kusudi gani? Sikiliza makala haya kwa kuelewa haki ya mwanafuzi na jinsi aadhibiwe pindi anapokosa.