Habari RFI-Ki

Hali tete ya kiuchumi barani Ulaya

Sauti 10:20
Rais wa Umoja wa Ulaya Josee Manuel Barroso
Rais wa Umoja wa Ulaya Josee Manuel Barroso European Commision

Mtangazaji wa habari rafiki siku ya leo ameangazia hali tete ya kiuchumi inayoikumba mataifa ya Ulaya.