Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
Sakata la Gazeti la News of the World nchini Uingereza
Imechapishwa:
Cheza - 18:44
kama ilivyo ada ya makala haya, nikukujuza yale yaliyojiri juma hili kwa kina na kubwa wiki hii ni kashfa ya uharamia wa simu nchini Uingereza pamoja na baa la njaa lililoikumba nchi ya Somalia.