Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Ukame Afrika Mashariki na nchi za Pembe ya Afrika

Imechapishwa:

Mtangazaji wa makala haya leo hii ameangazia hali mbaya ya ukame ambayo imeikumba nchi ya Somalia lakini pamoja na nchi zilizoko katika pembe ya Afrika.