Habari RFI-Ki

Washukiwa wa vurugu za uchaguzi nchini Kenya kufikishwa kizimbani

Sauti 09:32

Mahakama ya uhali wa kivita ya ICC ilioko jijini the Hague inawasikiliza washukiwa wa uchochezi wa vurugu za baada ya uchaguzi zilizotokea nchini Kenya mwaka 2007. Katika mahakala haya ya Habari Rafiki iliangazia juu ya kukataliwa kwa ombi la serikali ya kenya juu ya kesi hiyo kusikilizwa nchini Kenya...Wananchi wa Kenya wanasemaje juu ya hatua hii? Fuatilia.....