Habari RFI-Ki

Mtandao wa kijinsia TGNP nchini Tanzania waadhimisha miaka kumi ya mafanikio, lakini watu wenye ulemavu wanakumbukwa siku hii

Sauti 10:04

Mtangazaji wa makala haya, alihudhuria maadhimisho ya miaka kumi ya mtandao wa kijinsia wa nchini Tanzania TGNP. Na kuzungumza na wanaharakati kuhusu watu wenye Ulemavu.