Kenya-Nairobi

Viongozi wa vyama vya kisiasa Afrika Mashariki wakutana nchini Kenya

Viongozi wa vyama mbalimbali vya kisiasa katika ukanda wa Afrika Mashariki wanakutana kwa siku ya pili leo jijini Nairobi nchini Kenya katika kongamano, la kujadili uwezekano wa vyama hivyo kubuni muungamo wa Afrika Mashariki na kati.Mwandishi weu wa Nairobi, Magret Wahito anahudhiria mkutano huo na amezungumza na mmoja wa vionozi wa chama cha CHUSTA nchini Tanzania anayehiudhuria mkutano huo, Bibi Mwaka Lameki kutaka kujua mengi zaidi kuhusu mkutano huo.