Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Afrika mashariki yakumbwa na matukio ya kusikitisha ikiwemo ajali ya Meli huko visiwani Zanzibar nchini Tanzania

Sauti 20:35

Mtangazaji wa makala haya Juma hili amekuandalia mambo mengi ambapo ameangazia ajali ya meli ya Islenders iliyotokea kule visiwani Zanziba juma hili na kuua watu zaidi ya 200.