Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Fahamu kwa kina yaliyotokea juma hili na kupewa nafasi

Sauti 20:41
Wananchi wa Zambia wakiwa katika harakati za Uchaguzi mkuu uliofanyika juma lililopita
Wananchi wa Zambia wakiwa katika harakati za Uchaguzi mkuu uliofanyika juma lililopita

Mtangazaji wa makala haya juma hili ameangazia masuala mbalimbali ukiwemo uchaguzi mkuu wa Urais nchini Zambia.