Habari RFI-Ki

Hali bado imeendelea kuwa tete nchini Misri

Sauti 09:58
REUTERS/Amr Abdallah Dalsh

Mtangazaji wa makala hii ameangazia hali ya machafuko yanayoendelea nchini Misri wakat huu ambapo nchi hiyo inajiandaa kufanya uchaguzi wa bunge.