Sehemu ya pili: Usalama unaojenga mazingira bora kwa nchi wanachama wa EAC
Imechapishwa: Imehaririwa:
Sauti 09:25
Mtangazaji wa makala haya juma hili ameendelea na sehemu ya pili ya kipindi kilichopita ambapo anaangazia ni kwa jinsi gani usalama thabiti na uliobora utajenga nguvu na uimara wa serikali wanachama wa EAC.