Jiji la Dar es Salaam lakumbwa na mafuriko
Imechapishwa: Imehaririwa:
Sauti 09:39
Mtangazaji wa makala ya Habari rafiki hii leo ameangazia mafuriko yaliyolikumba jiji la Dar es Salaam nchini Tanzania, ambapo mvua zimeendelea kuneysha kwa siku ya pili mfululizo.