Mvua zaendelea kutikisa jiji la Dar es Salaam nchini Tanzania
Imechapishwa: Imehaririwa:
Sauti 08:58
Mtangazaji wa makala ya habari rafiki hii leo ameendelea kuzungukia maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam kujionea uharibifu uliotokana na mvua zinazoendelea.