Jua Haki Zako

Uhuru wa vyombo vya habari Afrika

Sauti

Katika makala  haya ya Jua Haki Zako, Mwanahabari wako Karume Asangama anazungumzia kuhusu changamoto zinazo wakumba waandishi wa habari katika nchi mbalimbali barani Afrika.